Monday, 19 August 2013

"WANAWAKE LIVE - MSIMU MPYA KUANZA (20/08/2013)



Usikose kukutana na 'Super Woman' Joyce Kiria kwenye Wanawake Live kuanzia kesho Jumanne saa TATU KAMILI usiku kupitia EATV, na Jumanne zote zinazoendelea anapokuletea issue mbali mbali kuhusiana na wanawake. SHARE hii na marafiki!"

0 comments:

Post a Comment