Thursday, 15 August 2013
Breaking News: Nyumba 6 zimechomwa moto katika Kijiji cha VODA ,Tarafa ya Mbwewe Mkoani Pwani,baada ya wanakijiji kuvamia gari la mizigo
Nyumba 6 zimechomwa moto katika Kijiji cha VODA ,Tarafa ya Mbwewe Mkoani Pwani,baada ya wanakijiji kuvamia gari la mizigo lililokuwa limebeba mitumba kuanguka na kufunga barabara lililoanguka na kufunga barabara ambapo wakazi hao walianza kupora hali iliyosababisha wenye mizigo kuingia kijijini kuwasaka waliopora mizigo hiyo.
Kamanda wa usalama barabarani Chalinze Afande Sule
amesema sehemu ya barabara hiyo ya Chalinze-Segera imefungwa na kusababisha abiria kutoka Dar Es Salaam kwenda tanga,Kilimanjaro na Arusha kukwama.
source-ITV
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment