AJALI...AJALI....YA BASI LA MERIDIANI ENEO LA MBWEWE BASI LIMEKATIKA NA SITI ZIPO NJE.
Bai la Merdiani lililokuwa
limetoka Rombo kwenda Dar. Limeanguka hapa karibu na mbwewe . Watu
wamekufa. Basi limekatika siti zipo njee. Dereva bado hajatolewa. taarifa zinasema dereva wake kafia hapo hapo na abiria wengine pia wamefariki
0 comments:
Post a Comment