Sunday, 18 August 2013

SERIKALI IPO WAPI..? ANGALIA HILI NDIO JENGO LA MWENYEKITI WA SERIKALI ZA MITAA....NI HATARI SANA!

 Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Tungini - Chanika, Salehe Kitwana akiwa katika ofisi yake bila wasiwasi.
 
Mwenyekiti Salehe Kitwana (kulia) akiongea na mwandishi wetu katika ofisi yake yenye ufa.
wiki hii imelinasa jengo la ofisi ya serikali ya mtaa wa Tungini - Chanika jijini Dar es Salaam likiwa na ufa mkubwa ukutani huku viongozi wake wakilitumia jengo hilo bila ya kuwa na wasiwasi wowote jambo ambalo ni hatari kwa maisha yao.

0 comments:

Post a Comment