EWZ : MTAWA AVAMIWA NA KUJERUHIWA VISIWANI ZANZIBAR
HABARI
nilizozipata punde kutoka Zanzibar zinasema Mtawa Mkatoliki
ameshambuliwa na kuumizwa vibaya humo katika eneo linalodaiwa kuwa ni
jirani kabisa na alipopigwa risasi Padri Mushi na kuuawa.
Chanzo
kinadai kuwa ni mbwa wa masister hao kumng'ata kuku
wa majirani ndipo
kundi la vijana wenye mapanga na marungu wakamvamia mtawa na kumuumiza.Chanzo:JAMIIFORUM
0 comments:
Post a Comment