Sunday, 11 August 2013

TAARIFA KUTOKA MSIKITI WA MTAMBANI LEO KUELEZEA HALI YA SHEIKH PONDA

  Amir Kundecha
Bismillahir Rahmanir Rahiim 
TAARIFA
        Taarifa rasmi kuhusu hali ya Sheikh Issa Ponda itatolewa leo (Jumapili) Al'asiri msikiti wa mtambani, jijini Dar-es-salaam. Pamoja na taarifa hiyo, Amiri wa Baraza Kuu, Sheikh Mussa Kundecha atazungumza na vyombo vya habari Insha-Allah muda na mahali hapo hapo.


Wabillah Taufiiq
11 Agosti, 2013

0 comments:

Post a Comment