Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Afrika katika mkutano wa
Viongozi wa Afrika na Marekani ambao ulifunguliwa na Rais Barak Obama
katika ukumbi wa State Department jijini Washington DC
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Ikulu ya
Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya Kitaifa
waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais Barak Obama.
0 comments:
Post a Comment