Shy-Rose Bhanji amefunguka kuwa leo amesonga ugali kwa mara ya kwanza
kwa kipindi chote hicho cha maisha yake, Watu wengi wamevutiwa na Status
yake hiyo na wengine kubaki na maswali iweje asijue ama kwa kipindi
chote hicho hakuwahi kusonga ugali? Lakini jibu ni simple tu inategemea
na familia ambayo mtu anatokea ama mazingira aliyokulia, wengine
wametumia muda mwingi nje ya nchi kusoma na kufanya kazi na huko
wamekutana na vyakula vya kigeni, na tangu utoto mwao hawajapata nafasi
ya kupika chakula hiko ukizingatia nyumbani kuna mpishi. Kila mtu ana
sababu yake lakini hatujui ya Shy ni ipi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment