Friday, 4 October 2013

MAMA MMOJA PIGWA RISASI BAADA YA KUTAKA KUINGIA IKULU YA MAREKANI



Risasi zimesikika katika mji wa Washington DC baada ya Mwanamke mmoja aliekuwa akiendesha gari kwa kasi kutaka kuingia katika Ikulu ya Marekani ''WHITE HOUSE" pasipo kufuata sheria ya kusimama katika vizuizi vilivyopo katika eneo ilo la ikulu ili akanguliwe Baada ya kuona Mwanamama huyo ataki kutii amri ya kusimama ndipo wanausalama wa Ikulu walipoamua kumfyatulia risasi na  ndipo mahuti yalipomkuta na ndani ya Gari baada ya kuikagua walikuta kunamtoto mdogo wa kike.Polisi walidhania ni tukio la ugaidi 

********************************** 

A police chase in Washington DC has ended in gunfire, sparking panic at the White House and US Capitol and leaving a woman dead and two officers injured.

The chase and wreck that preceded the shooting were neither an act of terrorism nor an accident, police said.

0 comments:

Post a Comment