Tuesday, 8 October 2013
MWANAFUNZI WA DARASA LA TATU APIGWA NA BABA WA KAMBO MPAKA KUFA
Jamaa anae fahamika kwa jina la
Masaka limbu wa hapa Dar amempiga mtoto wake wa kambo mpaka kupoteza
maisha, tukio hilo lilitokea jmamosi mida ya saa mbili , Baba huyo
alikuwa akikagua madaftari ya shule ya mtoto huyo na kukuta
hayajasahihishwa na mwalimu na kuamua kujichukulia hatua na kuanza
kumpiga mpaka kifo chake kilivofika....mtoto huyo alikuwa na umri wa
miaka tisa..Mtuhumiwa anashikiliwa na Polisi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment