Risasi
zimesikika katika mji wa Washington DC baada ya Mwanamke mmoja aliekuwa
akiendesha gari kwa kasi kutaka kuingia katika Ikulu ya Marekani
''WHITE HOUSE" pasipo kufuata sheria ya kusimama katika vizuizi
vilivyopo katika eneo ilo la ikulu ili akanguliwe Baada ya kuona
Mwanamama huyo ataki kutii amri ya kusimama ndipo wanausalama wa Ikulu
walipoamua kumfyatulia risasi na ndipo mahuti yalipomkuta na ndani ya
Gari baada ya kuikagua walikuta kunamtoto mdogo wa kike.Polisi
walidhania ni tukio la ugaidi
**********************************
A
police chase in Washington DC has ended in gunfire, sparking panic at
the White House and US Capitol and leaving a woman dead and two officers
injured.
The chase and wreck that preceded the shooting were neither an act of terrorism nor an accident, police said.
|
0 comments:
Post a Comment