Hii ni technologia mpya kabisa kutoka Samsung, inayotarajiwa kutoka ndani ya mwaka huu 2013.
Tecknologia
hii imerahisisha zaidi kupuguza Matumizi ya Rimoti. TV Hizi zinaweza
kutambua kila uhachokifanya kwa wakati husika pia zina Kamera unaweza
zipa amri bila kutumia Rimoti au Kibonyezo. Hii inaonyesha ni namna gani
wenzetu wavyozidi piga Hatua za kiteknologia katika nchi zao.........
0 comments:
Post a Comment