Sunday, 22 September 2013

ANGALIA PICHA KAMPUNI YA NSIIMA WALIVYOADHIMISHA SIKU YAO MOROGORO LEO

 
Mkuurugenzi Mtendaji wa Nsiima Catering Services Mama Immaculata Rutatota
Mkuurugenzi Mtendaji wa Nsiima Catering Services Mama Immaculata Rutatota Aliyevaa kofia akiongozana na wafanyakazi wa kampuni hiyo leo asubuhi Walipotembelea kituo cha kulelea watoto yatima cha Mgolole Mjini Morogoro Ikiwa ni siku ya kampuni Hiyo kufurahia na Kumshukuru Mungu kwa mwaka Mzima
Wafanyakazi wa Nsiima Catering Services Wakiwa wamebeba vitu mbalimbalia kwa ajili ya kituo cha watoto yatima Cha Mgolole Mkoani Morogoro
Mkuurugenzi Mtendaji wa Nsiima Catering Services Mama Immaculata Rutatota wakishiunana mkono wa watoto yatima ikiwa ni makabidhiano ya vitu mbalimbali wakati kampuni ya Nsiima walipowatembelea watoto hao leo
Meneja masoko wa kampuni ya Nsiima Jackline Rutatora Aliyevaa Kofia akiwa pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo

0 comments:

Post a Comment