Habari za
hivi punde zinasema kuwa magazeti la Mwananchi na Mtanzania yamefungiwa
kwa kuandika habari za upotoshaji, kwa upande wa gazeti la Mwananchi ni
kuwa limefungiwa kwa muda wa siku kumi na nne(14) wakati gazeti la
Mtanzania limefungiwa kwa siku tisini (90)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment