KATIKA makala iliyopita tuliona jinsi mwili unavyoweza kujitibu wenyewe ukipata mlo sahihi. Leo tunapenda kuzungumzia faida za
nazi, ambazo zinatokana na kuwa na mchanganyiko maalum wa aina nyingi
za mafuta zijulikanazo kama ‘medium chain triglycerides’ au kwa kifupi
(MCT’s).
Nazi
ikiliwa na binadamu hugeuza aina hizo za mafuta kuwa tindikali ambayo
kitaalamu huitwa ‘medium chain fatty acids’ au kwa kifupi (MCFA’s)
ambazo huua na kutokomeza virusi vya aina mbalimbali mwilini.
Tui la nazi
Matumizi ya nazi kama tiba kwa waathirika wa virusi duniani yalilipuka kwa kasi mwaka 1990 mara baada ya mtafiti wa tiba kutoka Iceland, Bw. Halldor Thormar, kubaini maajabu ya tiba hii.
Waathirika wa virusi vya aina mbalimbali duniani waliotumia nazi walitoa ushuhuda wao wa namna walivyopata nafuu mara baada ya kutumia nazi kama tiba. Licha ya kuponya maradhi waliyokuwa nayo, iliwaboreshea afya zao na kuonekana kana kwamba si waathirika tena.

Ushahidi wa faida ya nazi kama urembo upo kwa mabinti wa Kizaramo wanaowekwa ndani na kuchuliwa mwili mzima kwa machicha ya nazi kwa miezi kadhaa, ambapo wanapotoka nje huonekana warembo wenye ngozi nyororo waliyoipata kiasili bila kutumia ‘krimu’ au mafuta mengine ya gharama.
Kama sote tujuavyo, virusi vya Ukimwi hudhoofisha kinga ya mwili. Mwili unapokosa kinga hushindwa kuzuia virusi vya aina nyingine kukushambulia. Kwa kawaida tiba ya virusi huwa ni zile dawa zenye uwezo wa kushambulia virusi (antiviral), bakteria (antibiotic) na zile za kushambulia fangasi (antifungus).
Lakini unaweza kujitibu maradhi yatokanayo na virusi kwa njia rahisi na salama. Kula nazi kwa wingi kadiri uwezavyo, kama ni muathirika basi anza kunywa tui la nazi glasi nne kwa siku na utaona maajabu ndani ya miezi mitatu tu. Kama tayari una vidonda visivyopona basi paka mafuta ya nazi kila utokapo kuoga, na matokeo utayaona bayana.
Hata hivyo tunajua kuwa si watu wote wako kwenye mazingira ya kupata nazi kirahisi au kupata nazi bora yenye virutubisho vinavyotakiwa. Hivyo tunawaomba msisite kuwasiliana nasi tuwape maelekezo ya kupata nazi bora na mafuta yake au bidhaa zingine zenye dhamana ya kulinda afya zetu kupitia lishe. Kwa ushauri, maoni, tafadhali wasilina nasi kupitia namba za simu hapo juu.
0 comments:
Post a Comment