![]() |
Reginald Mengi |
Baada ya tanesco kutangaza mgawo wa umeme kwa mikoa iliyo kwenye grid ya taifa, sasa Mengi amnanga kijanja hapa namnukuu Reginald Mengi Mh Muhongo "Niwaambie Watz hakuna mgawo wa umeme na hautakuwepo" SasaTanesco yatangaza mgawo mikoa ya gridi ya taifa. Muungwana angejiuzulu
0 comments:
Post a Comment