Jinsi mandela alivyofunika Dar, Zanzibar baada ya kutoka gerezani
Mwalimu Julius Nyerere akiwa na mgeni wake Nelson Mandela (kushoto) na Winnie Mandela kwenye
gari la wazi wakati wakiwasili kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es
Salaam. Mandela alifanya ziara nchini mwaka 1990 baada ya kutoka
gerezani.Picha na Maktaba. Dar es Salaam. Siku 23 baada ya NelsonMandela kuachiwa huru kutoka gerezani,
Februari 11, 1990 aliwasili hapa nchini kwa ziara fupi iliyokuwa na msisimko wa aina yake.
0 comments:
Post a Comment