MENGI: KWA MGAWO HUU WA UMEME NINGEKUWA MIMI NDIYE PROFESA MUHONGO NINGEJIUZULU
Reginald Mengi
Kutoka katika akaunt yake ya twitter Dr Reginal Mengi amemnanga hasimu
wake ambaye waliyeingia kwenye mgogoro kutokana na issue ya uwekezaji
kwenye vitalu vya gesi, Baada ya tanesco kutangaza mgawo wa umeme kwa mikoa iliyo kwenye grid ya
taifa, sasa Mengi amnanga kijanja hapa namnukuu
Reginald Mengi
Mh Muhongo "Niwaambie Watz hakuna mgawo wa umeme na hautakuwepo"
SasaTanesco yatangaza mgawo mikoa ya gridi ya taifa. Muungwana
angejiuzulu
No comments:
Post a Comment