"NIPO TAYARI KUNYONGWA KWAAJILI YA HILI ILA SITATOA RUZUKU KWA CHADEMA WALA CCM WASIPOKAGULIWA"...ZITTO
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za
Serikali (PAC) Zitto Kabwe akitoa ufafanuzi juu ya taarifa yake ya
mahesabu ya vyama 9 vya siasa ambavyo havijapeleka ripoti ya ukaguzi
wake wa mahesabu kwa Msajili. Baadhi a vyama hivyo vilikanisha taarifa
hiyo
No comments:
Post a Comment