Breaking Newzzz....Wabunge wa upinzani watoka nje tena kwa kupuuzwa!
Wabunge zaidi ya 20 walisimama kwa mujibu wa sheria lakini Jenista
Muhagama akaandika majina na kutowapa nafasi, akitaraji kuwapa nafasi
mwishoni! Cha ajabu hajui wanataka kuzungumzia nini. Wametoka nje ya
ukumbi. Mbunge wa CUF mwanamama Mwituka na John M. Shibuda wa CHADEMA,
Dr. Augustine Lyatonga Mrema wabaki ukumbini
No comments:
Post a Comment