Zitto Kabwe: Msiwaamini wanasiasa, chama tawala wala wapinzani
Kauli hii ameitoa leo katika kongamano la ufuatiliaji wa uwajibikaji
Jamii ambapo yeye alikuwa akiongelea majukumu ya bunge katika kusimamia
uwajibikaji.
Mambo mengi aliyoongea yalikuwa ni yenye mwelekeo chanya isipokuwa hili
la kutupa tahadhari ya kutowaamini wanasiasa, akisisitiza hata wa
upinzani.
Nyuma ya kauli hii kumejificha nadharia nyingi kutegemea na mtu atakavyoipokea.
Kwa maana nyingine, kauli hii inaleta hisia kwamba, hata wale wa chama chake tusiwaamini pia.
Kwa kuwa mheshimiwa ni miongoni mwa members hapa, najua ujumbe huu
utamfikia. Nilitaka atoe ufafanuzi alikuwa anamaanisha nini kwa kauli
yake hii.
No comments:
Post a Comment