Breaking News: Nyumba 6 zimechomwa moto katika Kijiji cha VODA ,Tarafa ya Mbwewe Mkoani Pwani,baada ya wanakijiji kuvamia gari la mizigo
Nyumba 6
zimechomwa moto katika Kijiji cha VODA ,Tarafa ya Mbwewe Mkoani
Pwani,baada ya wanakijiji kuvamia gari la mizigo lililokuwa limebeba
mitumba kuanguka na kufunga barabara lililoanguka na kufunga barabara
ambapo wakazi hao walianza kupora hali iliyosababisha wenye mizigo
kuingia kijijini kuwasaka waliopora mizigo hiyo.
Kamanda
wa usalama barabarani Chalinze Afande Sule amesema sehemu ya barabara
hiyo ya Chalinze-Segera imefungwa na kusababisha abiria kutoka Dar Es
Salaam kwenda tanga,Kilimanjaro na Arusha kukwama. source-ITV
No comments:
Post a Comment